Ruka hadi Maudhui
Soko la Hisa la Dar es Salaam
  • AFRIPRISE7550.66%
  • CRDB2,8500.00%
  • DCB3951.27%
  • DSE6,2300.32%
  • IEACLC-ETF1,4100.00%
  • JATU2000.00%
  • KCB2,1300.94%
  • MBP1,9303.63%
  • MCB3651.37%
  • MKCB3,7802.12%
  • MUCOBA3902.56%
  • NICO3,4001.18%
  • NMB1,8502.16%
  • NMG2805.36%
  • PAL2851.75%
  • SWIS2,3503.83%
  • TBL10,2300.59%
  • TCC14,2500.00%
  • TCCL4,4001.14%
  • TOL1,4600.00%
  • TPCC5,7500.00%
  • TTP3656.85%
  • VERTEX-ETF3100.00%
  • VODA1,2600.79%
  • ZAN TIMIZA ETF1204.17%
  • ZAN-ETF1100.00%
  • EABL5,8400.17%
  • JHL8,7000.00%
  • KA1154.55%
  • SWALA4500.00%
  • USL300.00%
  • YETU5100.00%

Hati Fungani za Serikali

Hati fungani za Serikali ni uwekezaji salama wa muda wa kati hadi mrefu ambao kwa kawaida huwalipa wawekezaji riba kila baada ya miezi sita katika kipindi chote cha hati fungani.

Nchini Tanzania, Benki Kuu hunadi hati fungani za Serikali kila baada ya wiki mbili, ikitoa hati fungani za aina mbalimbali (miaka 2, 5, 7, 10, 15, 20 na 25) mwaka mzima, na huorodheshwa DSE kwa biashara ya soko la upili.

Hati fungani nyingi za Serikali nchini Tanzania zina riba isiyobadilika, yaani riba inayopangwa kwenye mnada hubaki ileile katika kipindi chote cha hati fungani. Hii huzifanya kuwa chanzo cha mapato cha muda mrefu kinachotabirika.

Faida za Hati Fungani za Serikali

  • Zina hatari ndogo sana kwa sababu zinatolewa na Serikali
  • Zinahamishika na kuuzika
  • Zinaweza kuwekwa kama dhamana ya mkopo
  • Kiwango cha faida ni cha ushindani

Hati Fungani za Serikali Zilizoorodheshwa

Aina

Tarehe ya Kuiva

–

Hali

Hati FunganiJinaISINTarehe ya KutolewaTarehe ya KuivaRiba (%)Malipo ya ribaKiasi Kilichotolewa (TZS)Muda
722-12.75-T19-A112.75% 25-YEAR TREASURY BOND OCTOBER 2026/51TZ199610617916 Okt 202616 Okt 205112.75Kila miezi sita563,242,600,000miaka 25
712-9.50-T351-A19.5% 2-YEAR TREASURY BOND JULY 2026/28TZ199610612030 Jul 202630 Jul 20289.50Kila miezi sita112,478,000,000miaka 2
711-11.25-T351-A11.25% 10-YEAR TREASURY BOND JULY 2026/36TZ199610611223 Jul 202623 Jul 203611.25Kila miezi sita297,202,800,000miaka 10
710-12.25-T276-A12.25% 20-YEAR TREASURY BOND JULY 2026/46TZ199610606209 Jul 202609 Jul 204612.25Kila miezi sita436,048,700,000miaka 20
702-11-T275-A111.00% 20-YEAR TREASURY BOND MAY 2026/2046TZ199610601329 Mei 202629 Mei 204611.00Kila miezi sita116,676,200,000miaka 20
701-10.75-T59-A110.75% 15-YEAR TREASURY BOND MAY 2026/41TZ199610598114 Mei 202614 Mei 204110.75Kila miezi sita137,442,800,000miaka 15
700-10.25-T93-A110.25% 5-YEAR TREASURY BOND 2026/31TZ199610596530 Apr 202630 Apr 203110.25Kila miezi sita311,538,200,000miaka 5
699-10.50-T349-A10.50% 10-YEAR TREASURY BOND APRIL 2026/36TZ199610595716 Apr 202616 Apr 203610.50Kila miezi sita134,022,300,000miaka 10
698-12-T274-A112% 20-YEAR TREASURY BOND MARCH 2026/46TZ199610594019 Mac 202619 Mac 204612.00Kila miezi sita268,286,200,000miaka 20
697-9.50-T349-A19.50% 2-YEAR TREASURY BOND MARCH 2026/28TZ199610593205 Mac 202605 Mac 20289.50Kila miezi sita115,825,500,000miaka 2
696-12.25-T58-A112.25% 15-YEAR TREASURY BOND FEBRUARY 2026/20241TZ199610592419 Feb 202619 Feb 204112.25Kila miezi sita549,270,900,000miaka 15
695-13.25-T18-A113.25% 25-YEAR TREASURY BOND 2026/51TZ199610591605 Feb 202605 Feb 205113.25Kila miezi sita991,862,260,000miaka 25
694-11.75-T348-A11.75% 10-YEAR TREASURY BOND JANUARY 2026/36TZ199610586615 Jan 202615 Jan 203611.75Kila miezi sita144,042,400,000miaka 10
693-13-T273-A113.00% 20-YEAR TREASURY BOND DECEMBER 2025/45TZ199610585818 Des 202518 Des 204513.00Kila miezi sita229,309,400,000miaka 20
689-10.75-T92-A110.75% 5-YEAR TREASURY BOND NOVEMBER 2025/30TZ199610580927 Nov 202527 Nov 203010.75Kila miezi sita150,341,900,000miaka 5
688-12.75-T57-A112.75 15-YEAR TREASURY BOND NOVEMBER 2025/40TZ199610575912 Nov 202513 Nov 204012.75Kila miezi sita191,293,000,000miaka 15
687-10-T347-A110.00% 2-YEAR TREASURY BOND OCTOBER 2025/27TZ199610574216 Okt 202516 Okt 202710.00Kila miezi sita107,184,000,000miaka 2
686-13.75-T17-A113.75% 25-YEAR TREASURY BOND SEPTEMBER 2025/50TZ199610573425 Sep 202525 Sep 205013.75Kila miezi sita292,582,400,000miaka 25
678-14.25-T272-A14.00% 20-YEAR TREASURY BOND SEPTEMBER 2025/45TZ199610572604 Sep 202504 Sep 204514.00Kila miezi sita527,397,900,000miaka 20
675-15-T16-A115.00% 25-YEAR TREASURY BOND AUGUST 2025/50TZ199610571807 Ago 202507 Ago 205015.00Kila miezi sita599,990,100,000miaka 25