- AFRIPRISE7550.66%
- CRDB2,8500.00%
- DCB3951.27%
- DSE6,2300.32%
- IEACLC-ETF1,4100.00%
- JATU2000.00%
- KCB2,1300.94%
- MBP1,9303.63%
- MCB3651.37%
- MKCB3,7802.12%
- MUCOBA3902.56%
- NICO3,4001.18%
- NMB1,8502.16%
- NMG2805.36%
- PAL2851.75%
- SWIS2,3503.83%
- TBL10,2300.59%
- TCC14,2500.00%
- TCCL4,4001.14%
- TOL1,4600.00%
- TPCC5,7500.00%
- TTP3656.85%
- VERTEX-ETF3100.00%
- VODA1,2600.79%
- ZAN TIMIZA ETF1204.17%
- ZAN-ETF1100.00%
- EABL5,8400.17%
- JHL8,7000.00%
- KA1154.55%
- SWALA4500.00%
- USL300.00%
- YETU5100.00%
ETF
DSE inatoa Mifuko ya Uwekezaji Inayouzwa Sokoni (ETF) ya kibunifu na yenye mseto. ETF huwawezesha wawekezaji kuwekeza na kufanya biashara ya makundi ya dhamana mbalimbali za DSE na masoko teule ya kimataifa kwa muamala mmoja.
Faida za kuwekeza kwenye ETF
Mseto: ETF kwa kawaida hufuatilia fahirisi, hivyo kuwa na mseto wa asili wa dhamana zilizomo.
Ufikiaji: ETF ni njia nzuri ya kufikia masoko ya nje, mada za uwekezaji na aina za mali zisizofikika kwa urahisi.
Urahisi: ETF ni rahisi kwa wawekezaji kwa kuwa huuzwa kama hisa kwenye soko linalodhibitiwa.
Uwazi: Dhamana zilizomo kwenye ETF huwekwa wazi na mtoaji mara kwa mara.